Scott Montana – Ndoto Lyrics

Ndoto Lyrics

Scott Montana
1
Oh Can I Be (can i)
The One (the one)
Taking me On Top (mmh)
Uende Nami
Uende Nami
Uende Nami

Oh Moyoni (moyo)
Nakidonda najiuguza
Nalia saana (mmh)
Oh uwe nami
Oh uwe nami
Oh uwe nami

BRIDGE
Napiga mbizi ndio nipate sawa
Nakosa siti sina cheti sawa
Maisha ni uwazi yana maumivu
Nimikasa isio na jibu

Nami nahisi kama hakuna dawa
Miaka imesonga na sivunji chawa
Maisha ni uwazi yana maumivu
Nimikisa isio na jibu

CHORUS
Mina Omba
Nina Omba
Nina Omba
Nina Omba
Ndoto itimie

Mina Omba
Nina Omba
Nina Omba
Nina Omba
Ndoto itimie

VERSE 2

Sijapata Kuona mwanga wako
Bado nateseka huu muda
Nitaishi kwa Nyumba yako
Majeraha uyapate kuuguza

Na shida zanifanya nifanyee
(muziki muziki)
Nami nitatoboa nipatee
(riziki riziki)
Ah

Maisha mikiki Sir God (mmh mmh)
Yanifanya niwe kama choko (mmmh mmh)
Na uno mzigo nao (mmmh mh)
Ni laki nisiishe na Moto
(mmmmhh)

BRIDGE
Napiga mbizi ndio nipate sawa
Nakosa siti sina cheti sawa
Maisha ni uwazi yana maumivu
Nimikasa isio na jibu

Nami nahisi kama Hakuna dawa
Miaka imesonga na sivunji chawa
Maisha ni uwazi yana maumivu
Nimikisa isio na jibu

CHORUS
Mina Omba
Nina Omba
Nina Omba
Nina Omba
Ndoto itimie

Mina Omba
Nina Omba
Nina Omba
Nina Omba
Ndoto itimie

Mmh mmh
Mmh mh
Mmh mmh
Mmmhhh

(sijapata kuona mwanga wako
Bado nateseka huu muda
Nitaishi kwa Nyumba yako
Majeraha uyapate kuuguza)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Pop New Lyrics

Recent Comments