Scott Montana – Tuone Lyrics

Tuone Lyrics

Scott Montana

Nanananananahh
Nanananananahh
Nananananahh
Nananananananahh

VERSE 1
Najiuliza kwanini
Moyoni nakosa Amani
Ama Nimeumbiwa
Duniani na laana

Inanishinda mechi
Nimeivua Jezi
Sina wa kunienzi maaana
Naachia Jajah Blessing
Baraka nisi Missy
Maana nimelia Saaana

BRIDGE
Ninakosa Riziki
Japo moyo sipurutiki
Maisha ni mikiki
Kama pesa kupata sishiki

Ninakula kwa Dhiki
Na akina Mwotin na akina Riziki
Tutaumia paka lini
Mungu Baba tuone na sisi

CHORUS
Tuoneee Tuoneee Tuoneeee
Mungu Baba Tuone Na Sisi
Tuoneee Tuoneee Tuoneeee
Mungu Baba Tuone na Sisi

VERSE 2
Nipatacho kichache mi bado na gawaaa
Aaaahhh
Nikwa muda nime noa ila ni sawa
Oh

Ohh Jembe langu Jembe
Jembe!
Sina mazao hata chembe
Chembe!
Halipalilii hata mwembe
Mwembe!
Nimekwama kama Pembe
Pembe!

Jembe langu Jembe Eeeh!
Jembe!
Sina mazao hata chembe Eeeh!
Chembe!
Halipalilii hata mwembe
Mwembe!
Nimekwama kama Pembe
Pembe!

BRIDGE
Ninakosa Riziki
Japo moyo sipurutiki
Maisha ni mikiki
Kama pesa kupata sishiki

Ninakula kwa Dhiki
Na akina Mwotin na akina Riziki
Tutaumia paka lini
Mungu Baba tuone na sisi

CHORUS
Tuoneee Tuoneee Tuoneeee
Mungu Baba Tuone Na Sisi
Tuoneee Tuoneee Tuoneeee
Mungu Baba Tuone na Sisi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Pop New Lyrics

Recent Comments